Chemical, Wema Ndani ya Movie Moja.
Wasanii wa tasnia ya muziki na filamu nchi kwa pamoja Wema Sepetu na Chemical wameamua kuungana na kufanya kitu cha tofauti na kukileta kwa mashabiki wao ili kuendelea kutoa burudani lakini pia kufanya baishara yao upande wa sanaa kuweza kuwalipa.
Akiongelea swala hilo , Chemical amesema kuwa yeye na Wema Sepetu watafanya kazi katika movie moja lakini sababu kubwa ni baada ya kufanya wimbo wa mary mary ndipo walipoamua kumchagua Wema kuvaa uhusika na kuto muvi yenye jina la wimbo huo kwa sababu za kibiashara.
Aliipenda story na kuna watu wa karibu yake waliongea nae kibiashara , kwaio sio kwamba tumeangalia tu jina kubwa la msanii hapana,kwaio tuliamua kumfuata Wema Sepetu kibiashara tu.
mimi sio msanii wa bongo movie ila mimi ni msanii wa muziki kwaio mimi nimefanyatu kama by the way.
Muvi hiyo ya mary mary itakuwa ni toleo la wimbo wa Chemicaal unaoitwa Mary Mary ambao unaelezea maisha ya msichana na mapito anayopitia.Ambapo Chemical aliamua kumchagua wema kuvaa uhusika huo kwa sababu za kibiashara kama alivyosema mwenyewe.