Calisah Aibuka Kidedea Mashindano Ya Mr. Africa
Mwanamitindo maarufu wa kiume Bongo Calisah ameibuka kidedea katika mashindano ya Mr. Africa yaliyojumisha nchi mbali mbali za Afrika na kufanikiwa kuwamwaga vijana wengine kadhaa.
Shindabo hilo lilifanyika mwishoni mwa Wiki iliyopita nchini Lagos, Nigeria na kushirikisha washiriki kutoka nchi mbali mbali za Afrika Kama vile Lesotho, Nigeria, Ghana, Cameroon na nyinginezo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Calisah ameshukuru Baada ya kupata ushindi wake na kuandika: