Brown Afanikiwa Kufuta Tatoo ya Jina la Wolper
Kama inavyokuwa kazi kwa wasanii wengine kufuta tatoo ambazo wana-jibrand katika miili yao, ndivyo ilivyo kwa mwanaume aliyekuwa katika mahusiano na mwanamitindo na msanii wa bingo movie ,Brown ambae aliamua kuchora tatoo ya jina la mpenzi wake jackline wolper kama ishara ya kumuonyesha kuwa anampenda, lakini mambo yalikuja kwenda kombo baada ya wawili hawa kugombana na kusababisha brown kutafuta naman ya kuifuta tatoo hiyo ili kuondoa kumbukumbu hiyo.
Hivi karibuni mwanaume huyo amesambaza picha katika mitandao ya kijamii ikionesha eneo ambalo lilikwa na tatoo hiyo kuwa amechora kitu kingine.
muonekano mpya wa eneo ilipokuwa imechorwa tatoo hiyo.