Birthday Ya Diamond Yafunika (Matukio Katika Picha)
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platinumz jana usiku alifanya private party akijumuika na baadhi ya wanafamilia wake, wafanyakazi wenzake, ndugu , jamaa na marafiki katika ukumbi wa Hyatt Regency uliopo jijini Dar Es Salaam.
Na hizi ni baadhi ya picha zilionyesha jinsi alivyosherekea sherehe hiyo,
Diamond akimlisha mama yake mzazi cake
B-Dozen nae alikuwepo kama mtu wa karibu katika kujuika pamoja na wanandugu katika shughuli iyo.
Vinywaji pia viliweza kupendezesha meza ukumbini hapo
Diamond akiwa na bodyguard wake muda wa maakuli.
Queen Darling akiwa pamaoja na Beka Flavour.
Meneja wa Diamond sallam k akifurahia jambo aakiwa pamoja na Diamond
Hata hivyo kabla Diamond ajaaanza party hiyo ya usiku alikwenda kutembelea katika hospitali ya Amana aliyozaliwa iliyopo Ilala jijini hapo na kutoa msaada kwa wagonjwa wenye thamani ya million 4 ili kuweza kusaidia wagonjwa.