Bidhaa za Mwana FA Zamfikia Kikwete
Mwanamuziki Fa amezinduka manukato yake yanayojulikana kwa jina la fyn ambayo imeanza kusambazwa katika maduka mbalimbali nchi ikiwa ni moja ya njia za kujikwamua kimasiha lakini kama msanii asietaka kuegemea upande mmoja tu wa sanaa bila kuwa na kitu kingine cha kufanya.
Manukato hayo ambayo yakakuw yanapatikana katika maduka mbalimbali yana bei ambayo inaweza kumfanya mtanzania yoyote kuyapatwa kwa bei ya shilingi efu 4.
Mwana Fa amepeleka manukato hayo kwa raisi mstaafu Mh Jakaya Kikwete na mheshimiwa amefurahishwa sana na juhudi za wasanii katika kufanya biashara nje ya muziki kwa sababu tayari anaona wanakifuata kile walichowahi kushauriwa na yeye mwenyewe.