Ben Breaker Amtolea Uvivu Diamond.
Mwanamitindo ben bracker amefunguka na kuongelea mambo yanayoendelea katika mtandao wa kijamii kuhusu msanii diamond kwa kuvujisha picha na video akiwa na wanawake tofauti taofauti , huku watu wengi wakiona kuwa kitedno hicho ni kujishushia heshima lakini pia ni swala la kudhalisha wanawake.
Akiwa mmoja wa aliyeguswa na matukio hayo , ben brackr amefunguka na kusema kuwa Diamond anachofanya ni kuua muziki kwa kutengeneza kiki zisizokuwa na maana.
kama msanii mkubwa Tanzania ilibidi uwaelimishe wasanii wengine kuwa muziki bila kiki inawezekana.sasa unavyokuwa unafanya kwa kiki kila saa na wao wakiiga si inamaana kuwa sanaa ya muziki bongo inakufa , acha kufocus kwenye mambo ya kiwack akina wizkid wanakupiga bao huko wanatusua international bila kiki unafeli sana , acha uswahili kuwa mnyamwezi umekuja kuwa localsana siku hizi.