Baby Shower ya Mke wa Roma(+picha)
Mwanadada anaejulikana kama Nancy ambae ni mke wa msanii Roma wiki hii amefanya baby shower iliyohudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo wasanii ambao wamekuwa wakifanya kazi na mume wake
.
Mke wa Roma akiwa na mwana muziki Dayna Nyange.
Akiwa na marafiki zake na wageni waalikwa.
Nancy ambae alikiri kuwa kufungiwa kwa mume wake kumemuumiza sana yeye na familia yake kwa sababu ndio kazi anayoitegemea lakini alisema kuwa lazima maisha yaende na wamemuachia Mungu mambo yote.Hata hivyo mwanadada huyo hakuonekana kuteteleka kwa sababu hali yae aliyonayo kwa sasa haimruhusu kuwa katika hali yoyote mbay kwa sababu anategemea kupata mtoto hivi karibu.