Babu wa Kitaa Athibitisha Usemi wa Country Boy

Siku za nyuma kidogo Country Boy alisema kuwa moja ya kitu klichoua muziki wa msanii babu wa kitaa ni kutokana na kuendekeza starehe na kulewa umaarufu na ndio maana ameshindwa kuendelea na muziki wake.

akiongea na radio clouds fm ,Babu wa kitaa alikiri kuwa usemi wa ndugu yake Country Boy ni kweli na kwamba alilewa kuwa na jina na wimbo mzuri alikuwa ameutoa mara ya kwanza na ndio maana aliacha kufanya kazi na kuendekeza starehe.

download latest music    

Hata hivyo babu wa kitaa amefunguka na kusema kuwa pamoja na kwamba alianguka lakizi anajipnaga ili kurudi tena na atafa ya vizuri zaidi ya mara ya kwanza.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.