Baada ya Video Kuvuja Tunda Aomba Radhi kwa Mashabiki Wake.
Video queen hasieishiwa na matukio bongo Tunda, ameomba msamaha kwa mashabiki wake na watu wake wote wa karibu baada ya video zake na sponsor wake kuvuja na kuonyesha wakiwa katika mahaba mazito.tunda ambae jana aliingia katika ugomvi mzito na Aunty Ezekiel kwa sababu ya deni la kukopa pombe ameomba msamaha kwa kuwa kuna mtu asiemjua amevujisha picha hizo.
Tunda anasema kuwa kuna mtu aliyeamua kufanya kitu hicho kwa maksudi ili kutaka kumdhgalilisha yeye lakini anaomba msamaha kwa sababu amejifunza kitu kupitia ilo.
Tunda anasema kuwa picha na video hizo zilishapitaga tangu siku nyingi kwa kuwa mwanaume alikuwa nae katika video na picha hizo walishaachana siku nyingi na mahusiano yalishaisha kitambo.’ninaomba radhi kwa kila niliyemhusu na pia ninashangaa kwani ni umeamua iwe hivyo wakati ilishaisha na tulishamaliza kitambo bila ugomvi wowote.”
Pia Tunda ameomba msamaha kwa mke wa mwanaume huyo kwa kutembea na mume wake , mbaya zaidi ni kitendo cha kuvujisha hizo picha na kumdhalilisha mume wake.’sio muda wa kulaumu tena ,nisameheni wote inayowahusu has amke wa mhusika na wote inayowahusu japo ilishapita’.
Tunda anaonekana kutokujua ni nani aliyefanya tukio la kuvujisha picha na video hizo lakini anamuomba mtu huyo kvujisha na ushahidi wote uliobaki ili yaisha kabisa kuliko kuyatunza na kisha kuvujisha tena baadae ionekane kama vile vitu hivyo vimefanyika hivi karibuni.
katika mitandao ya kijaimi miezi kadhaa iliyopita zilitokea habari kuwa mwanadada huyo Tunda ana mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu anaejulikana wa jina moja la Kinje na kuwa huyo ndio anaemueka mjini.lakini skendo hiyo ilikaa kimya kwa muda mrefu mpaka jana zilipovujishwa tena picha hizo.