Atcl Wajibu Malalamiko ya Diamond Kuachwa na Ndege.
Kampuni ya ndege ya Atcl wamejibu tuhumazilizosambaa sana katika mitandao ya kijamii baada ya msanii Diamond platinumz kutoa malalamiko katika vyombo vya habari kuhusu kuachwa nandege huku akilalamikia kuwa haikuwa sahh kwake.
kampuni hiyo inakubali kuwa mteja huyo alikata ticket katika kampuni yao lakini hakuwahi kufika katika uwanja wa ndege wa mwanza ambapo alitakiwa kuruka na ndege ya saa mbili kutoka jijini hapo kwenda Dar.
kampuni inasema kuwa kwa mujibu wa watu waliokuwepo uwanjani hapo na kamera zilizopo uwanjani zinaonyesha kuwa Diamond alichelewa sana kufika katika uwan ja huo na kukuta dirisha la ukaguzi limeshafungwa.
kwa mujibu wa barua ya Atcl wanasema ”