Aslay kakua Maswala ya Mapenzi Muachieni Mwenyewe.-Fela
Mkubwa fella amefunguka kwa mara ya kwanza na kuongelea kuhusu mahusiano ya Aslay na aliyekuwa mpenzi wake na kupata naeo mtoto mmoja kuachana na kwamba wawili hao kwa sasa wanaishi mbalimbali.
Mkubwa Felaa anasema kuwa kwa sasa aslay ameshakuwa kwaio anauwezo wa kuamua kufanya yale anayoweza kufanya kwa kuamua mwenyewe lakini kuhusu swala la ndoa yake Aslay mwenyewe hajamfata na kumuelezea kuhusu kitu icho kwaio hawezi kusema kitu juu ya swala hilo.
mkubwa Fela anasema kuwa kwa sasa aslay amekuwa ‘ mtoto kakua , huu ni mwezi wa ramadhani kwaio ingekuwa mwezi wa kawaida tungeongea lakini yeye kakua na anajua kuna ubaya, kuna mazuri kuna nini,angekuwa na akili angekuja angenifuata na kusema baba kuna hili na hili ningejua tunamrekebisha wapi.