Amber Lulu Alizwa Tena na Mapenzi
Mwanadada Amber Lulu ameonekana kuumizwa tena na maenzi ingawa hajataka kuweka wazi kwanini kile alichkionyesha katika ukurasa wake wa instagram alikuwa akikimaanisha.
Katika ukurasa wake huo, mwanadada Amber Lulu aliweka picha yenye kutukana kwa kiais kikubwa sana swala la mapenzi na kuonekana kama vile ni kitu ambacho kiemuumiza sana.
Katika ukurasa wake hata baada ya kuweka picha hiyo mashabiki walianza kumuuliza kuhusu swala la kuyatukana mapenzi , na kwanini amekuwa akionekana kama mtu mwenye uchungu sana na swala hilo.
ikumbukwe kuwa Amber Lulu alikuwa katika mahaba mazio sana na mwanaume wake prezzo kutoka kenya ambae alikuwa akimsifia kuwa ndie mwanaume mwenye kuma furaha muda wote tofauti na wale wa nyjma ambao walikuwa wakipa stress kila siku.