Alikiba Kuwasogeza Mashabiki Wake Karibu Kupitia Soka
msanii mkubwa wa muziki nchini alikiba anawkautanisha mashabiki wake pamoja kwa kwaandalia mchezo wa soka ili kuweza kufurahia nao pamoja,siku ya April 27, alikiba na team kiba watakuwa pamoja katika viwanja vya JAKAYA KIKWETE pale Mnazi Mmoja kwa ajili ya kukutana na msahabiki yake .
katika kukutana huku, alikiba na team yake watakuwa na mchezo wa soka kati ya Team_Kiba Fc na Insta_Soka Fc , lengo kubwa la mechi hizi ni alikiba kuwa pamoja na mashabiki wake huku ikiwa imebaki siku moja tu alikiba kufanya sherehe ya harusi yake aliyoifunga wikiiliyopita huko mjini Mombasa.
Mchezo huu unatarajiwa kuanza mida ya saa10 jion na hakutakuwa na kiingilio hivyo watu wote wanakaribishwa katika michuano hiyo.