Alikiba Atuhumiwa Kuwa Mwizi.
Msanii mkubwa wa muziki bongo Alikiba ametuhumiwwa kuwa mwizi wa kionjo anachokitumia sana kwa sasa katika nyimbo zake huku aliyemtuhgumu akimwita kuwa yeye sio mbunifu bali amekuwa akikopi mambo ya watu.
Msanii aliyemtuhumu msanii mwenzake ni Domo kaya huku akisema kuwa kionjo cha neno YEBABA anachokitumia alikiba kwa sasa kilikuwa ndicho kionjo chake kwa muda mrefu.
Alikiba kwa sasa ni moja kati ay wasanii wakubwa sana wanaowakilisha vizuri bongo na nje ya afrika na Duniani kwa ujumla huku akivuma sana na nyimbo zake pya lakini pia kwa akzi yake nzuri ya kutoa wasanii wachanga chini ya kings music.