Alikiba Atoa Sharti kwa Mashabiki ili Atoe Ngoma Mpya.
Msanii Alikiba mabe pia ni kiongozi wa kundi la Kings Music ametoa sharti dogo sana kwa mashabiki wake ili kama wataweza kufanikisha ili anaweza kuachia ngoma mpya muda wowote kuanza sasa.
Kwa kutumia maneno ambayo yamekuwa yakisumbua sasa katika mitandao ya kijamii, alikiba alitumia ukurasa wake wa instagram na kuandika kuwa kama kuna mtu anabisha kuwa iwmbo wa toto ambao kwa sasa ni wimbo mpya wa kundi ili kama ni mbaya basi watu wajikune ili atoe wimbo mwingine.
Alikiba alandika “TOTO ni shida kama unabisha jifanye kama unajikuna, nitoe kubwa zaidi”
Hata hivyo msanii huyo katika moja ya zawadi zake za birthday yake mwaka huu kwa mashabiki zake alisema kuwa anataka kuwakonga mashabiki wake kwa kuwafanyia vitu vikubwa hiyo inawezekana kuwa hizo ndioz zawadi zinaanza kutoaka.