Alichoongea Diva Kuhusu Penzi Lake kwa Soudy Brown.
Mwanadada mwenye kipaji cha sauti na inayovutiwa na watu wengi Diva the bawse amefunguka na kusema kuwa yuko tayari kuwa mke wa pili kwa sody brown na hata yuko radhi kubadilisha dini na kuwa dini inayoendana na Soudy kama ataonyesha nia ya kumuoa.Mara ya kwanz aDiva alishawahi kusema kuwa kama kuna mtu anataka kumuoa basi inabidiatoe milioni 500 kama mahali lakini juzi amekataa na kusema kwa sasa anaagala mapenzi ya kweli.
Diva ambae pia ameonekana kuwa anateseka sana na mapenzi hivi karibuni ameachana na mpenzi wake heri muziki na kuchafuana katika mitanda ya kijamii amesema uwa yuko tayari kuolewa na Soudy Brown kkwa sababu ni myu anaemuelewa kuliko mtu mwingine yoyote.
Soudy he is my right hand dog, Soudy ni kila kitu kwangu.we fight we nini lakini we always there kwa miaka sasa urafiki wetu ni wa karibu sana like he is my one and only hakuna kama soudy.
Diva anasema kuwa anajua kuwa sSudy yupo katika mahusiano na kwa sababu soudy amemwambia kuwa atamuongeza kwak hana kipingamizi yeye yuko tayari kubadilisha dini kwa sababu yake pamoja na kwamba anajua Soudy ana mpenzi tayari.
yeye kasema ni mtoto wa kiislam na kama ataniongeza kwenye list mimi niko tayari kubadilisha dini kisa soudy , nitaitwa aamina.ninamjua mpenzi wake and we are good buddies, ila tutakaa kama kamati tutaongea tuishi vizuri kama wake wenza.
Diva anasema kuwa pamoja na kwamba wapo watu wanaojua kuwa yeye na DSoudy ni marafiki lakini kuna tetesi zinazosambaa chini chini kuwa yeye na Soudy ni wapenzi, Diva anakanusha na kusema kuwa yeye na Soudy ni marafiki kwa muda mrfu sana na wamekuwa wakisaidia kwa shida na raha na starehe na uzuni lakini sio kwamba wao ni wapenzi.
Diva aliachana na mpezi wake Heri Muziki na mpaka sasa Heri amekuwa akilalamikakuhusu ujauzito aliompa diva ambao inasemekana kuwa ulitoka kwa bahati mbaya.