Alichoandika Wema Katika Kumbukumbu ya Kanumba
Mwanadada Wema Sepetu ambae siku zote amekuwa akikirikuwa bila kanumba yeye hasingeweza kufika hapa alipo anafunguka na kuzungumzia hisia zake katika kumbukumbu ya marehemu Steven Kanumba aliyafriki siku ya tarehe 7 april na sasa ametimiza mika 6 tangu kufariki kwake.
Katika ukurasa wake wa instagram wema sepetu aliandika” boboo I n my heart you will always remain, yo change my whole life,intrideced me to this career that todeay gives me respecr..if it wasnt for you i dint know kuna wakati nakumiss sanaaaa,, kama hii juzi nso nilikukumbuka zaidi ya sana,,nikatamni uwepo japo uone kwamba kile ulichokitamani miaka iliyopita kina ukweli…
uliona kipaji ndani yangu na ukanishika mkono..taratibu tukaamua kufanya kazi nd look at me now..kuna muda nilikata tamaa kabisa lakini ila kwa sasa naona hapana.. sina sababu ya kufanya hivyo..
nitalienzi jina lako siku zote za maisha yangu na kwa kufanya hivy nitafanya kazi kwa bidii na kukutaja kwenye mafanikio yangu maana wewe ni sehemu kuwa sana kwenye sanaa yangu…
endelea kupumzika kwa amani baba yangu you will forever live in my heart ..until we meet again.”
Wema amekiri kuwa mafanikio yake anayoyapata sana ni kutokana najuhudi kubwa aliyowahi kuiweka marehemu kanumba katika kipaji chake, hata hivyo ukiachana na kuwa walifanya azi pamoja lakini pia Wema liwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Kanumba.