Billnass Ampa Uchebe Dhana za Kupambana na Nuh Mziwanda
Msanii Billnas amemzawadia uchebe zawadi ya vifaa vya kufanyia mazoezi huku akimwambia kuwa amefanya makusudi kumleta vifaa hivyo ili aweze kufanya mazoezi na kuwa fit ili aweze kupambana na watu wanaomfatilia mkewe Shiloleh hasa msanii mwenzao Nuh Mziwanda.
Jumamosi wikiendi iliyopita Uchebe na Shiloleh walifanya weddingparty baada ya kufunga ndoa mwezi mmoja uliopita,party hiyo ilifanyika masaki jijini Dar es Salaam ilikuwa ya kufana sana na walikuwepo wasanii wengi wakiwemo wasanii wa kundi kubwa nchini la Wasafi likiongozwa na meneja wao Diamond platinumz.
Wakati wa kuto zawadi kila mmoja alikuwa na chake mkononi lakini kwa upande wa bilnass aliona isiwe shida bali kumsaidia uchebe kuwa fit kwa kumpa ahadi ya kumtafutia vifaa vya mazoezi huku akimwambia afanye mazoezi ili apambane na Nuh mziwanda.
najua mwanangu ashrafu anapenda nini,anapenda michezo ya ngumi kwaio na mimi kwa kulitambua hilo na mimi nitamzawadia vifaa vya mazoezi kwa ajili ya fitness.ufanye mazoezi hata ya kupambana na kina nuh mziwanda , sisi watoto wa kiume inabidi kujilinda pale inapobidi.-Alisema Bilnass.
Ukiachna na vikwazo vingi walivyopitia shiloleh na uchebe mpaka kufikia hatua ya kukamilisha ndoa hiyo ikiwani pamoja na kukataliwana baaadhi ya ndugu na kusema sana katika mitandao, Nuh Mziwanda alikuwa ni mmoja wa watu waliokuwa wakiliandama sana penzi la wawili hao mpka kufikia hatu ya kutaka kuwagombanisha kwa kuvujisha picha za uchonganishi.
Nuh mziwanda alikuwa mwanaume wake na shiloleh kabla ya kukutana na uchebe, nuh alikuwa ni moja ya kikwazo sana kipindi cha maandalizi ya harusi ya wawili hao kupelekea hadi kufunga ndoa kimyakimya.
Siku hiyo ilikuwa ni moja ya siku ya bahati kwa msanii shiloleh na mme wake uchebe kutokana na zawadi nyinge walizpokea kutoka kwa wasanii wenzao ikiwemo gari,ahadi za kusaidia katika kazi na ada za shuke kwa watoto wake.Wasanii wengi waliohudhuria waliwatakia maisha mazuri na yenye baraka katika katika ndoa yao .TUNASEMA HONGERA KWAO.