Billnasi Atupilia Mbali Ombi la Ndoa Kwa Nandy
Msanii wa muziki Bilnass amejibu kwa kukataa ombi la msanii mwenzie Nandy la kutaka kuolewa nae hata kama anahisia nae .Bilnas anasema kuwa anaheshimu sana hisia za nandy lakini hawezi kufunganae ndoa kama yeye anavyotaka.Wiki moja iliyopita Nandy alisema kuwa natamani sana kufunga ndoa na msani mwenzie Bilnass kwa sabau ameona kuwa huyo ndie anasifa za kuwa mwanaume atakae ishi nae maishani.
Bilinasa anasema kuwa hawezi kujibu maombi ya Nandy in a positive way kwa sababu anaweza kuharibu mahusiano yake kwa sasa , hivyo angeweza kujibu kama hana mahusiano lakini anamshukuru Nandy na anaheshimu sana hisia zake.
kwa comment yangu kwa sababu mtu ameelezea hisia zake, kutokana labda na perssonality yangu ila kwakweli nandy hanijui kiundani sana,siwezi kujibu in a positive way ingawa naheshimu sana hisia zake na ninaheshimu sana mawazo yake na alichokizungumza.lakini kwa sababu niko kwenye mahusiano siwezi kufanya move yoyote kwa sababu sitaki pia kujiharibia mimi mwenyewe na nina heshimu mahusiano yangu siwezi ku-comment chochote kwa sababu naogopa kumkwaza mwenzangu na hakitakuwa na mrejesho mzuri hata kidogo kwa mahusiano yangu lakini ninaheshimu hisia zangu,
Hata hivyo wawili hao wanaonekana kuvutiwa na kila mmoja kwa sababu bilnasaa alishawahi kusema kuwa nandy ni msanii wa kike ambae angeweza kuwaza awe mkewe endapo atataka kutafuta mwanamke msanii wa kuona, ndicho alichokisema Nandy hivi karibuni kuwa Bilnas ni mwanamuziki anaeweza kuolewa nae ingawa hawezi kumfata na kumwambia.
Wawili hao walishawahi kuwa na teyesi za kuwa na mahusiano ingawa kila mmoja amkuwa akikataa kuthibitisha hilo.Wote ni wasanii wazuri na chipukizi, inawezekana kuwa pamoja kuna weza kuwafanya kuwaongezea mashabiki na kupendwa zaidi.