Pretty Kindy Aongea na Nuh Mziwanda.

Msanii wa kizazi kipya nchi  Susan Michael anaejulikana  kama Prety Kindy amefunguka na kumpa ushauri  aliyekuwa mpenzi wake  Nuh Mzimwanda kuwa aache kukurupuka na kuvamia mapenzi na atulie aache kuyumbishwa na wanawake.Pretty Kindy na Nuh Mziwanda walikuwa wapenzi baaada ya Nuh kuachana na Nawal ambae alkiweza kupata nae mtoto mmoja.

Prety Kindy alifunguka na kusema kuwa  alikuwa katika mapenzi na nuh lakini walikuja kuachana kwa sababu nuh mziwanda alikuwa  anapenda kuhudumiwa kila kitu wakati yeye mwenyewe yupo katika harakati za kutafuta maisha hivyo alishindwa kumlea.

download latest music    

Nuh Mziwanda

Prety indy amemuomba Nuh aachane na wanawake na aache kutamani kuwa na wanawake watako kuwa wanamuhonga tu bali aanze sasa kufanya kazi kwa ajili ya maisha yake.

nilishindwa kuwa na nuh kwa sababu nilishindwa kuwa na mwanaume ambae ananitegemea kwa kila kitu wakati mimi mwenyewe bado natafuta maisha,namshauri atulie sasa atafute maisha atafika mbali  sana kuliko kutegemea kuhongwa.

Kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita (2017), Nuh mziwanda aliweza kuwa katika mahuisano na kuachana nao wanawake watatu yaani shiloleh amabe ilisemekana kuwa alikuwa akimlea na kmhudumia kwa kila kitu na hata kufikia hatua ya kuwa anampiga na hatimaye alimuacha, baadae alifunga ndoa na Nawal ambae waliweza kupata mtoto mmoja  na baadae kuingia katika mapenzi na Susan Michael ambae pia amemuacha baada ya kushindwa kumlea.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.