Zari Amchezea Mchezo Mchafu Hamisa
Mwanamitindo na mjasiriamali hamisa mobeto amejikuta katika mtego mzito aliowekewa na adui yake mkubwa na mwanamke wanae-share nae mwanaume Zari The Bossy baada ya mwanamama huyo kuamua kumuwekea mtego uliomfanya Hamisa kuwa karibu na ndugu wa damu wa Zari The Bossy anaejulikana kama William Bugeme.
Kuna baadhi ya picha zilizokuwa zikisambaa ambazo zimekuwa zikimuonyesha Hamisa akiwa na mwanaume huyo ambae watu wanasema kuwa inawezekana huo ni mpango wa Zari The Bossy kumeweka karibu mwanadada Hamisa Mobeto ili aweze kupata mtu wa kum-keep busy ili asiweze kuwa karibu na mzazi mwenzie Diamond Platinumz.
Moja ya watu wa karibu na mwanamama Zari The Bosyy amethibitisha ilo na kusema kuwa hamisa amekuwa mjinga na kushindwa kutambua kuwa nukaribu wake na Buggeme unaweza kuwa ni mtego mkubwa kutoka kwa zari ili ahakikishe kuwa hayupo karibu na mumewe.
mnajua kuwa huyo hamisa amenasa kwa begeme lakini hajui kuwa huo wote ni mpango wa zari katika kumtoa kwa baba watotro wake,asipoangalia atajikuta anatumika na bado anabwaga kwani huyo mwanaume yupo kimaslahi zaidi wala sio kwa mapenzi hata kidogo.
mwanamke huyo ni mjanja sana,haongei ila inaongea pesa tu,bugeme toka zamani anafahamiana na na hamisa sasa ameamua kumtumia huyo huyo ili ili kumaliza kamcgezo kake,unafikiri diamond akiona ameingia kwenye penzi na mwanaume mwingine lazima amuache.
William Bugeme alishawahi kutoka na wasanii wengine wa bongo kama Linah Sanga pamoja na Kabula.