Mitindo bora ya nywele kwa watoto.
Wazazi wengi wamekuwa wakiharibu nywele za watoto wao zikiwa bado ndogo kwa sababu ya kuweka dawa katika vichwa vya watoto wao.Wengine wamekuwa wakiwasuka watoto mitindo inayowafanya kuvutwa kwa nywele zao na kuwaumiza vichwa eti kisa fashion na kutaka mtoto apendeze, ilhali kuna mitindo mizuri ya kusuka bila kuharibu nywele za mtoto kwa kuziweka dawa au kumvuta kusuka mitindo itakayo muumiza.
Kama unataka kumsuka mtoto basi hii inaweza kuwa baadhi ya mitindo mizuri kwa watoto.
NB:Wazazi wanapaswa kukumbuka kuwa unapomuweka dawa mtoto au kumsuka mtoto mitindo ya kuvutwa nywele sio tu unamuumiza lakini pia una haribu ubongo wake.Wapendeni watoto kwa kwendana na fashion lakini inapaswa kuchagua ni fashion gani amabyo haitaathiri afya ya mtoto.