Hii ndio picha ya Zari akiwa bado fukara ambayo imezubaisha wengi…hata Diamond Mwenyewe
Saa hii Zari ako kwenye mitandaoni akionnyesha manguo, magari na maisha kiistaarabu lakini hakuanzia hapo.
Kuna wakati alikuwa msichana wa kawaida tu..mweusi na mwenye mavazi na nywele za kawaida tu and watu wachache sana wangetmani wakati huo.
Also read: Zari aringia umbo lake miezi tatu baada ya kuzaa mtoto wake wa tano
Ameabadilika sana na kwa kweli alibleach uso wake ili kufanana na ma star wengine mpaka na wale wa marekani.
Ebu tazama hii picha: