Aunty Awashushua Wanaomsema Anakaa Nyumba Ya Kupanga.
Msanii mkongwe wa bongo movies na mjasiriamali Tanzania Aunty Ezekiel, amefunguka na kuwashushua watu wanaomsema kuwa tangu ameanza kuwa maarufu mpaka sasa hivi bado anaishi katika nyumba ya kupanga na hajafanikiwa kuwa na nyumba yake wakati ana jina kubwa na amekuwa akitengeneza ela inayoweza kumfanya kujenga nyumba yake.
Hata hivyo aunty amejitetea na kusema kuwa anakaa katikati ya mji kjitonyama kwa sababu ni karibu na anakofanya shughuli zake nyinginlakini ana nyumba ya kwake mwenyewe Kigamboni lakini hawezi kwenda kukaa huko kwa sababu ni nje ya mji na ni mabli na nyumbani kwake.
Nawashangaa sana wanaosema hivyo kuwa sina nyumba sijui wamejualiwa wapi hayo yote,mimi nimeamua kupanga katikati ya mji ili niweze kufanya kazi zangu kwa urahisi zaidi na kama ni nyumba mbona ninayo huko kigamboni ? –Aliongea Aunty Ezekiel
Aunty Ezekile ni mamam wa mtoto mmoja wa kike aliyezaa na mcheza dancer maarufu kutoka katika lebel kubwa nchi ya Wasafi chuni ya bosi wao Diamond Platinumz.
Maneno haya yanakuja baada ya wasnaii wengi tanzania kuwa wakiishi maisha ya juu huku wakiwa hawana sehemu za kukaa zaidi ya kupanga nyumba zenye gharama na baada ya muda wanapopata matatizo wanashindwa pa kujistiri na kuanza kuomba msaada kitu kinachofanya kupotosha kazi ya sanaa na watu wengine kuona kama haina faida yoyote.
Lakini bado watu hawapaswi ku-judge na kuongea maneno bila kuwa na uhakika wa kile wanachokuwa wakikiongea kwa sababu sio kila mtu anapenda kuweka maisha yake hadharani.