Mapya Yaibuka, Nillan si wa Diamond, Wema Arudisha Majeshi Madale
Kadri siku zinavyozidi kusonga ndivyo mambo yanazidi kuwa mengi,kuna mengi yanayokuwa yamejificha ambayo inawezekana kweli yakawa yanafanyika au watu katika mitandao wanakuwa wanazusha tu, baada ya tetesi nyingi kuwakumba , Dari na diamond na kufikia hatua mpaka ya kutokuwa na mahusiano mazuri, bado tetesi hizio zinazidi kuwaandama wawili hao .Inasemekana kuwa kuna taarifa za kuvuja kwa siri nzito kutoka kwa watu wa karibu wa Diamond bila yeye mwenyewe kujua.
Leo katika mtandao wa kijamii wa instagram muda mfupi uliopita kumekuwa na tetesi mpya kuhusu taarifa kuwa mtoto wa pili wa kiume wa Diamond Platinumz anaejulikana kama Nillan sio wa kwake na kuwa eti katika kipindi ambacho Diamond alikwenda kufuatilia maswala ya kipimo cha DNA na baada ya kuthibitisha kuwa mtoto huyo sio wa kwake ndipo alipoamua kunyamaza na icho chiko kilicholeta mtafaruku mkubwa kati ya mama na baba wa mtoto huyo.
Akiandika katika ukurasa wake wa instagram, Mange Kimambi ambae amekuwa akionekana mtu mwenye ujua siri nyingi za watu wengi, Mange alitoboa undani huo na kusema kuwa Diamond alipokwenda Afrika ya Kusini kushereka birthday ya Mama Tiffah alikwenda na kufanya DNA na iliyoonyesha kuwa mtoto huyo w akiume ambae ilikuwa ikisemekana kuwa ni wa diamond sio wa kwake kwa mujibu wa vipimo vya DNA.Hata hivyo Mange anasisitiza kuwa baadhi ya watu wa karibu wa msanii huyo wamekuwa wakijua siri iyo lakini wamekuwa wakinyamaza ili kulinda heshima ya msanii hyu ambae kwa muda mrefu amekuwa akikanusha taarifa hizo.
Kwa upande mwingine pia , kuna tetesi kuwa kwa sasa msanii Diamond Platinumz amerudiana na mpenzi wake wa zamani, Wema Sepetu ambae walikuwa katika mahusiano kwa muda wa miaka kama minne nyuma .Tetesi hizo ambazo hazina ukweli bado zinadai kuwa Wema Sepetu amekuwa akionekana nyumbnai kwa diamond muda mwingi sasa na hata katika mfululizo wa sherehe za kusherkea sikukuu ya kuzaliwa kwa msanii diamond Wema Sepetu ndie alieandaa moja ya sherehe hizo.