Mh Makonda Atoa Ahadi Kutimiza Ndoto ya Godzilla kwa Familia yake
Mh mkuu wa mkoa ametoa ahadi ya kutoa kiasi cha shiling milioni tano kwa familia ya msanii marehemu Godzill Ikiwa kama msaada kwa kipindi hiki kigumu lakini pia kufidishia kiasi kidogo kwa pesa za matatibbu ya Godzilla kipindi alipokuwa mgonjwa,.
Lakini pia, Mh makonda ameamua kutoa pesa hiyo kwa ajili kusaidia kutimiza ndoto za Godzilla ambae alitaa kumfungulia mama yake duka la madawa wa ajili ya kuendeleza maisha yake baada ya kustaafu.
Hivyo basi pesa hiyo itatolewa kwa ajili ya kutimiza ndoto za marehemu ambae alitaka kumfanyia hivyo ma ayake mzazi.
Mh Makonda anasema kuwa anajua hawezi kuatoa pesa kuondoa uchungu wa kupotelewa na mtoto kwa familaia ya msanii huo lakini kwa sababu msanii huyo alikuwa na mtoto mdogo itasaidia kwa sasa familia hiyo kwa matumizi mpaka pale watakapokaa sawa.