Riyama Ally Ajitetea na Ubonge Wake
Msanii mkongwe wa filamu za Bongo movie, Riyama Ally ameibuka na kuwajia mashabiki zake ambao wamekuwa wakimtolea maneno kuhusu mwili Wake na kumtaka apungue.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Riyama amewataka mashabiki wanaojitokeza na kumwambia apungue waache kufanya hivyo kwani anapenda alivyo:
https://www.instagram.com/p/BtgAqlvn62w/?utm_source=ig_share_sheet&igshid=1k4njqwbxukcn
https://www.instagram.com/p/BtfSFT-HilC/?utm_source=ig_share_sheet&igshid=1gzkeq2oe0v80
a wakimtolea maneno ya