Daimond Haingii Katika list ya Wanaume Niliyowahi Kutoka Nao Wenye Pesa ;-Zari
Mwanamama zari the bossy amefunguka na kutupa dongo kwa mzazi mwenzie diamond platinumz kwa kusema kuwa watu wengi wamekuwa wakimjaji na kumwambia kuwa kama diamod asingekuwa na pesa basi inawezekana kusingekwa na mapenzi kati yao.
Hata hivyo Zari alijibu swali hlo kwa shabiki huyo alieyeingilia katika ukurasa wake na kuandika upande wa maoni na kumwambia kuwa pamoja na kwamba amekuwa na mahusiano na wanaume wengi lakini hajawahi kumuweka diamond katika wanaume aliyowahi ku0date nao wenye pesa.
Zari anasema kuwa katika list hiyo hawezi kumuweka Diamond kwa sababu ukweli ni kuwa diamond hana pesa za kuwazidi hao wanaume wengine aliowahi kuwa nao hata kidogo.
Wawili hao ambao wanakaribia kutimiza mwaka sasa waliwahi kuwa wapenzi na kufanikiwa kupata watoto wawili lakini watoto hao kwa sasa wanalelewa na mama yao huku daimond akihangaika kutafuta mwanamke mwingine atakae weza kumuoa.