Mapenzi na Ray ni Kitu Hakitawezekana :-Johari
Mwanadada johari amefunguka na kusema kuwa pamoja na kwamba Ray amekuwa mpenzi wa Chuchu hans kwa muda na hata kufikia kupata mtoto lakini hajawahi kuwa na mahusiano na ray kama ambavyo imekuwa ikitangazwa katika mitandao .
Kumekuwa na maneno kuwa kabla ya ray kuwa na mahusiano na chuchu alikuwa na mahusiano na Johari nadipo alipomuacha na kwenda kwa chuchu hans na kumuacha jihari na maumivu.
Hata hivyo, johari anasema kuwa hajawahi kuwa na mahusinao na ray na hata kama ingekuwaje icho ni kitu ambacho hakiwezekani na hakitawezekana kabisa maishani.
Chuchu hans na ray ambao kwa sasa mapenzi yao yanapumulia mashine wanaonekanakushindwana katika mapenzi na kwamba kwa sasa kila mtu yuko anaendelea na maisha yake.