Kisa kukaa Selo, Sister Fey Agoma Kumuweka Mume Kwenye Mitandao
Mwanadada Sister Fey aefunguka na kutaoa sababu kubwa iliyowahi kumfanya mpaka sasa hasiweke picha za mwanaume wake katika mitandao ya kijamii.
Sister Fey anasema kuwa ameamua kumpumzisha mwanaume wake kwa sababu baada ya kuwekwa selo kwa sababu yake aliona hakuna haja tena ya kuwanufaisha walimwengu zaidi ya mapenziy ao.
sister fey anasema kuwa , walipelekwa polisi kwa sababu ya umri wa mwanaume huyo lakini baadae walikuja kuchunguza na kugundua kuwa umri wake unafaa kabia kuwa na mahusiano na ndipo walipoamua kuachiwa lakini baada ya sekeseka hilo haoni haja ya kuweka picha katika mitando lakini hawajaachana.
Kama unakumbuka , msanii huyo aliwahi kuwekwa ndani na mPenzi wake baada ya kuwa anaweka picha na video za ajabu zisizokuwa na maadili katika mitandao ya kijamii, lakini tang baada ya tukio hilo ameonekana kujifunza kwa sasa.
Niko na mume wangu kama kawaida lakini siweiz kumpost tena katika mitandao kama zamani, ingawa tulipofika polisi tulikuwa kuwa umri unaruhusu kuwa nae na tutaishi nae mpaka milele labda kifo kitutenganishe lakini kwenye mitandao kwa sasa acha apumzike