Aristotle Amsifia Diamond kwa Kupata Size yake, Asema Waliopita ni Matapeli
Moja ya wapendezesha wasanii maarufu mjibi aristotle amefunguka na kusema kuwa Diamond kwa sasa amepata mwanamke wa size yakekwa sababau yeye na tanasha wamekuwa akiendana sana sio kama wale waliopita hapo awali,
Akiongea alipokuwa akimpodoa mwanadada Tanasha usIkU wa jana, Aristotle aliskikia katika moja ya video aliokuwa akiwareodi wapenzi hao kwa nyuma akisema kuwa simba kwa sasa yuko mahala husika sio kama pale alipokuwa mwanzo.
Aristotle anasema “simba sasa hivi amepata saizi yake, amechoka kabisa kutapeliwa tapeliwa na wale waliopita, sio wale waliokuwa waimba taarabu mwanzoni na majungu kibao kibao, angalia sasa hivi hata kwa kuthaminisha “