Hamisa Ashutumiwa Kuiba Bwana na Tahiya
Mwanada video queen katika video mbalimbali Tahiya amemshtumu mwanadada hamisa maobeto kwa kuiba bwana ambae kwa upande wake anasema ni wa kwake lakini Hamisa amejifanya kama hamjui na kuingia nae katika mahusiano .
Tahiya alianza kutoa povu hilo baada ya mwanadada Hamisa Mobeto kuonekana akiweka picha akiwa zanzibar akiwa anakula rah ndipo , mwanadada huyo alipoamua kufichua siri kuwa mwanadada huyo ameenda zanzibar akiwa na bwana wake.
Hata hivyo mwanadada huyo aliweka pia baadhi ya charts ambazo zinasemekana kuwa zilitengenezwa na tahiya ili zionekana kuwa ni za kweli kuhusu mwanaume huyo ilhali hazina ukweli wowote.