Unataka Kushindana na Diamond :-Ruby amhoji Shetta
Mwanadada Ruby amefunguka na kuongea kwa upande wake juu ya swala la msanii shetaa kusmea kuwa sababu kubwa ya yeye kuondoka king empires ni kwa sababu ya kiburi chake katika kufanya kazi huku dada huyo akikana swala hilo na kusema kuwa msanii huyo amkuwa moja ya watu wanafiki sana.
Ruby anasema kuwa pamoja na kwamba wote walikuwa ni wasanii tu lakini kuna muda shett alikuwa akifanya vitu na kujiona kama yeye ndio general wa wasanii owte na kujifanya kama yeye ndio mwenye labo hiyo.
anasema Ruby “we fikiria mpaa shetta anasema kuwa we subiria tu tutamta huyo hautjui sisi kama ndio wazee wa fitina sio, yaan kwamba ataenda kusema kitu kwa bosi, lakini swala ni kujiuliza wewe shetta una nguvu gani ya kuongea na bosi mpaka mtu kufukuzwa au ndo uanataka kushindana na diamond , msanii ambae huna hata lebo ukashindane na diamnd mwenye WCB.”
Ruby na Shetta walikuwa wakifanya kazi chini ya uongozi mmoja lakini Ruby alikuja kutokakwa madai kuwa mwanadada huyo amekuwa kiburi na asiesikilizana na wenzake.