Vannesa Awapigia Magoti Mashabiki
Mwanadada vanesa mdee amefunguka na kuwaomba mashabiki zake kumpigia kura katika tuzo anazowanua mabapo yeye peeee yake amejikuta akiteuliwa katika vipengele sita tofauti katika tuzo za hi pipo music awards nchini uganda,
akiwa kama moja ya wasanii wa kike wakubwa na wanafanya vizuri afrika , Vanesa amekuwa mstari wa mbele kuwakilisha wanawake wengine wasanii tazania kwa kufanya vizuri na kuwa na collabo nyingi sana afrika.
Tuzo hizo zinatarajiwa kutolea mwezi March 16 mwaka huu , huku msanii huyo akiwa na vipengele vingi vya kuwania na wasanii wengine kutoka nchi mbalimbali.