Sugu Amvisha Pete Ya Uchumba Mpenzi Wake
Msanii mkongwe wa muziki wa Hip hop nchini na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amemvisha pete ya uchumba Mpenzi Wake wa siku nyingi Happiness.
Tukio hilo lilifanyika Wikiendi iliyopita ambapo pamoja na kwamba wawili hao kuwa pamoja kwa miaka mingi Lakini pia Hivi sasa Happiness ni mjamzito.
Hizi ni baadhi ya picha za Tukio hilo: