Akothee Amtolea Povu Zito Hamisa Mobeto
Msanii wa muziki kutoka Kenya amempa dozi nzito ya maneno mwanamitindo na video queen wa Bongop Fleva ambae hivi karibuni alikuwa katika skendo nzito wa kugombana na baba wa mtoto wake mchanga aliyejifungua hivi karibuni.Video quenn huyo ambae alikuwa na mahusiano ya kimapenzi kwa muda mrefu na msanii wabongo fleva Diamond platinumz lakini walifanya siri ili kumficha mama watoto wa msanii .
Akothee msanii kutoka Kenya aliandika katika ukurasa wake wa instagram ila ujumbe huo hakuaandika amemlenga umfikie nani , lakini katika marumbano yaliyotokea hapa karibuni kati ya Diamond na Hamisa na kufanya Hamisa kuvujisha picha za siri akiwa yeye na Diamond. zinafanya watu kusadiki kuwa moja kwa moja ni ujumbe uliomlenga Hamisa.
“but why would i take photos with someone i have just stolen from a sex moment, if am not a malicious person, i think i can forgive my baby if he is caught in in this scenario, why are girls not intelligent if you succeeded & convinced him to bed ,then trust me you can still manipulate his finance without interfering with his family if you have same brains so you be his panadol when his main chick is on fire mbona hamjui kula na vipofu nyie mbona mna shot cut za kijinga? Mmmm game yenu iko chini kama kiatu a man wont be horny forever and sex wont keep a man its beyond bed halooooooooo good night (sijasema mkatafute mabwana za watu ingawa mnawatafuta na sijataja mtu letu matusi nikupe raha) #brain@work, way take evidence for sex who doesn’t know what happen when two opposite sex are in bed? What are you keeping evidence for? How is it hurting his family satisfying your malicious behaviour, it shows clearly you dont even love or wants this this man, you want his family broken and thats your mission.” hiyo ni barua ndefu aliyoiandika akothe kwa yule inayomhusu ambae yeye hajamtaja jina moja kwa moja.