Ali Kiba Kufanya Kolabo na Staa Kutoka Nigeria
Msanii wa muziki wa Bongo fleva nchini Ali Kiba amethibitisha kufanya kazi na staa wa mkubwa wa muziki kutoka Nigeria anayejulikana Kama Enitimi Alfred Odom ’Timaya’.
Msanii huyo amempa shavu staa wa Bongo fleva Ali Kiba kwenye EP yake ya ‘Chulo Vibes’ ambayo inategemewa kuingia sokoni ndani ya mwaka huu.
Tanya amethibitisha taarifa hizo ukurasa wake wa Instagram ambapo aliandika maneno haya:
My BROTHER @officialalikiba from TANZANIA came through on the EP. CHULO VIBES is
”.