Fid Q Amshauri AY kununua kontena Aliloawahi kuanzia maisha Dar
Msanii wa muziki wa hip hop nchini fid q ambae kwa sasa bado yuko katika fdungate amefunguka na kumshauri msanii mwenzake AY kununua kontena ambalo aliwaghi kuanzia maisha pindi alipotua kuja dar kwa ajili ya kutafuta maisha na kutimiza ndoto zake za kuwa msanii.
AY ambae wikiendi hii aliweza kutrend sana katika mitandao kutokana na kuweka wazi historai yake hiyo kuwa alifika dar kwa mara ya kwanza alikaa katika kontena moja hapo jijini na kisha kulioyesha konetana hlo, msanii fid q amemuoma AY kununua kontena hilo na kisha kutengeneza studio ambayo kitawasadia sana wasanii wanaotoka mikoani kuja kuanza muziki,
nimesmhauri AY kununua ilile kontena na kisha kuligeuza kuwa kijiwe maalum kwa ajili ya wasanii wote wanaokuja kutoka mikoani wanaokuja dar kuendelezea harakati zao za kimaisha na muziki.
Katika historia hiyo , AY alisema alikja Dar mwaka 1999 na kupokelea katika kontena hilo ambapo alikuwa akipata nafasi ya kulala usiki tu kwa sababu mchana kulikuwa na kazi za ushonaji.