Rayvanny Atoa Sababu ya Kubadili Nywele.
Msanii kutoka katika kundi la Wcb amefunguka na kusema kuwa sababu kubwa iliyompelekea maa kutaka kubadili muonekano wake ni kwa sababu anataka kuwa na muonekano tofauti tofauti kama msanii kwa ajili ya kubadili radha kwa mashabiki wake pia.
Rayvanny anasema ‘Muda mwingine msanii unatakiwa kubadilika sio kila siku panki tu , na ninajua karibuni taanza matusi yenu na kuniambia toa, toa, toa lakini sitoi huu ndo muonekano wangu kwa sasa.”
Wasanii hwa kutoka katika kundi hili kwa sasa wamekuwa kama wameambizana kwa sababu wote wamebadili muonekano yao kichwani.