Wakenya Wamlilia Diamond Kuhusu Wasafi Festival.
Mashabiki wa msanii diamond kutoka kenya, wamefunguka na kumsemam maneno mengi huku wengine wakilalamika na kujuta sana kuhusu show ya wasafi festival iliyofanyika jijini Nairobi huku wakisema kuwa kile walichokitaka na kukitegemea sio kile walichokiona katika show hiyo.
Katika mtandao wa twitter kulichafuka sana baada ya mashabiki ho kulalamika huku wakisema kama inavyoonyesha .