Harmonize Awakumbuka Mashabiki Zake Kenya kwa Shukrani.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka lebo ya WCB Harmonize alimaarufu KondeBoy ametumia siku ya mwaka mpya kuwasifia na kutoa shukurani zake kwa mashabiki zake kutoka Kenya.Mashabiki ambao wamefanya mwaka wake wa 2018 kuwa na mafanikio kutokana na kupendwa sana kwa kazi zake katika nvhi hiyo.
Msanii huyo kutoka Tanzania ameandika hayo kwenye ukurasa wake wa Instagram huku akiwamwagia sifa nyingi mashabiki zake kutoka Kenya na kuandika maneno haya:-
INGAWA MIE NI MTANZANIA NA NUSU….!!! ILA NAJIVUNIA UWEPO WENU NDUGU ZANGU WA KENYA …!!!! I LOVE YOU
YOU CHANGED MY LIFE
FROM TANZANIAN SINGER
TO EAST AFRICAN YOUNG STER
I LOVE YOU FROM MY HEART
TULIIBADIRI TAREHE 31/12/2018
KUWA TAREHE 12/12/2018 NA TUKAIMBA HAPPY BIRHDAY KENYA…!!!!GOD
BLESS 254
THANKS ALO NAAMINI 2019 ITAKUWA ZAIDII….!!! EAST AFRICA TO THE