Masharti ya Wema Aliyopewa na Familia Baada ya Kuanza Biashara.
Mwanadada Wema sepetu ametakiwa kufuata masharti ya familia yake ili kufankisha biashara yake ambayo ili pia kuepuka masswala ya aibu hasa baada ya yale yaliwahi kumtokea hivi karibuni kabla ya kufungua baishara hiyo.
Wema Sepetu ambae amefungua duka la watoto hivi karibuni baada ya kwenda china kufuata mzigo, anatakuwa kufuata mashart yafuatayo :-
1.Biashara anayoiendesha itakuwa chini ya dada yake Nuru ambae ndio atakuwa akimuongoza kwa kila kitu hata kama biashara hiyo ni ya kwake.familia imefanya hivyo il kuweka limits ya mambo mengi ambayo anayo mwanadada huyo.
2.Kujilinda na kuacha kabisa skendo za mara kwa mara kwa sababu licha ya kufubaza jina na brand yake lakini inaua biashara pia.
3.kuepukana na vyombo vya habari hasa mahojiano ya mara kwa mata yasiyokuwa na umuhimu owowte kwa ajili ya kutafuta kiki au umaarufu wowote.Atakae kuwa msemaji mkuu wa mwanadada WEMA ni dada yake anaejulikana kwa jina la NURU.
4.Kuepukana sana marafiki anao wengi wamekuwa wanafiki kwake , wamekuwa wakionekana kuwa wanampenda lakini linapotokea baya lolote wamekuwa wakimkimbia na bila kumsaidia.
5.Kuepuka kufanya starehe za mara kwa mara na watu wanaojifanya marafiki kumbe nia kubwa ni kutaka kufanya starehe bila kuwa na msaada owowte kwa mwanadada huyo.