Mashabiki Wamjia Juu Linah ku-edit picha za Mtoto
Mwanadada linah sanga amejikuta akiingia katika wakati mgumu baada ya mashabiki kumvamia katika mitadnao ya kijamii baada ya kuonekana kuwa amekuwa akitumia application kwa ajili ya kubadilisha muonekano wa mtoto wake na kuwa tofauti na vile alivyo.
mashabiki wamemjia juu msanii huyo na kumwambia kuwa hata kama mtoto wake angekuwa na muonekano gani kwa sababu huyo ni mtoto wake tu hivyo alitakiwa kumkubali na kumependa na sio kumbadilisha ili aonekane kuwa wa tofauti.
Hayo yote yamekuja baada ya mtoto huyo kuonekana na rangi tofauti na ile aliyonayo kawaida.