Uwoya Athibitisha Mapenzi kwa Alikiba
Mwanadada irene uwoya amefunguka na kusema kuwa pamoja na kwamba hakuwahi kuwa karibu na msanii alikiba lakini mara zote amekuwa akitamani sana kuwa karibu na msanii huyo kwa sababu ndio msanii anaemkublai tanzania.
Irene ambae alionekana katika funga mwaka na king kiba anasema kuwa mara zote amekuwa akipenda sana nyimbo za alikiba na jinsi anavyo-perfom jukwaani na ndio maana ameshindwa kuacha kwenda katika party hiyo.
Mwanadada huyo alisema “Alikiba ni mtu ninae mkublai sana, ninampenda na ia nina enda nyimbo zake na ndio maana leo niko hapa”
Irene anasema pia kuna kuwa pub yake ambayo ilitakiwa kufunguyliwa decemba 23 ilishindika kwa sababu kuna baadhi ya mambo hayakuwa yamekamilika.