Mange Kimambi Atamani Kuwa Kama Mama Mobeto
mwanadada mange kimambi amefunguka na kusema kuwa anatamani sana kuwa na busara kama za mama amobeto kwa sababu amekuwa mama anaejua kutumia mitandao vizuri hata katika umri wake na kwamba amekuwa mama bora kwa mtoto wake wa pekee hamisa mabae mara nyingi alikuwa akisemwa na kusimangwa lakini kama mama hakuwahi kuakata tamaa .
Mange Kimambi amesema maneno hayo alipokuwa akimtakia mama huyo kheri ya siku yake ya kuzaliwa siku ya December 12 katika ukurasa wake wa instagram ambapo alimpongeza sana mama huyo kwa sababu mara zote hata wanapokuwa wakivamiwa kwa maneno amekuwa mtu wa kukaa kimya na kumpa moyo mtoto wake na kuwalea vizuri wajukuu zake.