Sio Ubaya Kumsapoti Wema Sepetu :-Hamisa Mobeto
Hamisa na asema kuwa akiwa kama mfanyabiashatra anahitaji sapoti kutoka kwa watu wengine na ndivyo ilivyo kwa mwanadada Wema Sepetu kuwa kwa sasa ameanza biashara yake na yeye pia anhitaji sapoti kutoka kwao ili aweze kuismama kwa sababu ndio anaanza.
Alipoulizw akuhusu kwenda katika duka la Wema sepetu ambae amefungua duka la nguo za watoto jumatano hii, hamisa anasema kuwa hata kama haitakuwa siku hiyo hiyo lakini ana uhakika kuwa lazima ataenda tu kwa sababu yeye ni majasiriamali na wanahitaji sapoti.
eventually nitaenda tu , hata kama sio kesho lakini nitaenda tu kwa sababu sioni kuwa ni kitu kibaya kwenda na kwa sababu mimi pia ni mjasiriamali na ninapenda kusapoti wafanyabiashara wenzangu.