Shetta Atangaza Ndoa na Mange Kimambi
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Shetta ameibuka na kukiri mapenzi yake kwa Mange Kimambi na kudai yuko tayari hata kufunga naye ndoa kwani anampenda sana.
Shetta ameweka wazi mapenzi yake kwa Mange ambaye Hivi karibuni aliwahi kuposti katika ukurasa wake wa Instagram na kusema wazi kuwa anamkubali.
Kwenye mahojiano aliyofanya na mtandao wa Bongo 5, Shetta amefunguka haya kuhusu mahusiano yake na Mange Kimambi:
Mange ni my girlfriend wangu mpya na labda naona kama naweza kuona kwamba naweza kukaa pale maana ananikosha sana kwa picha zake anazoposti.
Halafu pia nina mpango wa kumuoa na kumuweka ndani yule Dada maana ni mzuri hasa maziwa yake yaani mi hoi”.
Shetta anafanya vizuri na ngoma yake ya ‘Hatufanani’ aliyowashirikisha wasanii Kama Mr. Blue na Juma Jux.