Amber Rutty , Mpenzi wake Wafika Mahakamani Kusilikza kesi Yao
Mwanadada Amber Ruty na mpenzi wake siku ya December 11 walifika tena mahakamni kwa mara ya kwanza tngu waliotoka kwa dhamani ndani kwa ajili ya kusikiliza kesi yao inayowakabili.
Mwanadada huyo na mpenzi wake walikabiliwa na kesi ya kusambaza na kurekodi picha na video za uchi huku wakifanya mapenzi kinyume na maumbile .
Wakiwa mahakamani hapo, wawili hao walisomewa mashtaka yao ambapo Amber Rutty alisomewa kosa la kumruhusu mpenzi wake kufanya nae mapenzi kinyume na maumbile, kosa ambalo alilikana, lakini kosa lingine ni kuchapisha video hizo katika mitandao ya kijamii, lakini pia kusambaza video hzo katika mitandao ya whatsapp.