Chemical Atangazaa Kujioa
Mwanadada mwenye sifa na muonekano wa kiume amefunguka na kutangaza rasmi katika mitandao na ukurasa wake wa instagram kuwa ana mango wa kujioa , huku mara zote mwanadada huyo akiisiwa kuwa hana mahusiano kutoka na kutokuwa na muonekano wa kike.
Mwanadada huyo alitangaza nia yake iyo katika ukurasa wa instagram na kuweka icha yenye caption ya NTAJIOA , kitu mbacho kimezua gumzo kwanini amekuwa akisema hivyo.
Chemical amekuwa akisemwa kama msanii mwenye muonekano wa kike pamoja na kwamba jinsia yake ni tofauti na kile kinachoonekana ndani yake.