Dogo janja Akumbuka Zamani
Msanii Dogo Janja Amerudi na kukumbuka kule alikotoka baada ya kuikabidhi shule aliyosomea darasa la kwanza mpaka la saba kwa kuwapa ndoo za rangi 20 pamoja na kuamua kukarabati shule hiyo kwa kuweka mabati.
Dogo janja mabae laisoma shule ya ungalimitied arusha, ameamua kurudisha fadhila na kukarabati mazingira hayo ili kuwasaidia wanafunzi waliopo sasa kusoma katika mazingira sala na safi.
Huu ni wakati mabao Dogo janja amekuwa akijitolea kwa jamii yake kwa sababu tangu amekuwa Arusha ambao ndiko aliozaliwa , ameamua kujirudi kwa jamii yake na hata kujenga nyumba kwa ajili ya mama yak mzazi.
katika ukurasa wake wa instagra Madee aliandika ; leo mapema @dogojanjatz alirudi kwenye shule #Ungalimited alisomalakwanza mpaka ka saba na kutoa ahadi ya kupiga rangi shule nzima na bila kuchelewa akapiga simu kiwandani na kuletwa ndoo kama zote … pia atapiga bati shule nzima